Kuhani atakiangalia hicho kidonda kibichi, naye atasema kuwa ni najisi; kile kidonda kibichi ni najisi; ni ukoma.
Walawi 13:16 - Swahili Revised Union Version Au kama hicho kidonda kibichi kinageuka tena na kuwa cheupe, ndipo atamwendea kuhani, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mtu huyo atarudi kwa kuhani. Biblia Habari Njema - BHND Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mtu huyo atarudi kwa kuhani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini hicho kidonda kikigeuka tena kuwa cheupe, mtu huyo atarudi kwa kuhani. Neno: Bibilia Takatifu Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani. Neno: Maandiko Matakatifu Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani. BIBLIA KISWAHILI Au kama hicho kidonda kibichi kinageuka tena na kuwa cheupe, ndipo atamwendea kuhani, |
Kuhani atakiangalia hicho kidonda kibichi, naye atasema kuwa ni najisi; kile kidonda kibichi ni najisi; ni ukoma.
na huyo kuhani atamwangalia; ikiwa hilo pigo limegeuzwa kuwa jeupe, ndipo huyo kuhani atasema kuwa huyo aliyekuwa na pigo ni safi.
Ikawa, alipokuwa katika mmojawapo wa miji ile, tazama, palikuwa na mtu amejaa ukoma; naye alipomwona Yesu alianguka kifudifudi, akamwomba akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.