Walawi 11:5 - Swahili Revised Union Version Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. Biblia Habari Njema - BHND Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. Neno: Bibilia Takatifu Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. Neno: Maandiko Matakatifu Pelele ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. BIBLIA KISWAHILI Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. |
Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu iliyopasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala.
Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye, atafananishwa na mtu mpumbavu, aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga;
Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
Wanakiri ya kwamba wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana; ni wenye machukizo, waasi, wala hawafai kwa tendo lolote jema.