Walawi 11:6 - Swahili Revised Union Version6 Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Sungura ingawa hucheua hana kwato zilizogawanyika; huyo ni najisi kwenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu. Tazama sura |