Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
Wafilipi 4:22 - Swahili Revised Union Version Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote wa Mungu hapa, na hasa wale walio katika ikulu ya mfalme, wanawasalimuni. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote wa Mungu hapa, na hasa wale walio katika ikulu ya mfalme, wanawasalimuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote wa Mungu hapa, na hasa wale walio katika ikulu ya mfalme, wanawasalimuni. Neno: Bibilia Takatifu Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari. Neno: Maandiko Matakatifu Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari. BIBLIA KISWAHILI Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari. |
Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
wakihuzunika zaidi kwa sababu ya neno lile alilosema, ya kwamba hawatamwona uso tena. Wakamsindikiza hata merikebuni.
Lakini Anania akajibu, Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kwa watu wengi, mabaya mengi aliyowatenda watakatifu wako Yerusalemu;
Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote.
hata vifungo vyangu vimekuwa dhahiri katika Kristo, miongoni mwa askari, na kwa wengine wote pia.