Waebrania 13:24 - Swahili Revised Union Version24 Wasalimuni viongozi wenu wote, na watakatifu wote; hao walio wa Italia wanawasalimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Wasalimuni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Wasalimuni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Wasalimuni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Wasalimuni viongozi wenu wote, na watakatifu wote; hao walio wa Italia wanawasalimu. Tazama sura |