Basi mkutano wakamjibu, Sisi tumesikia katika torati ya kwamba Kristo adumu hata milele; nawe wasemaje ya kwamba imempasa Mwana wa Adamu kuinuliwa? Huyu Mwana wa Adamu ni nani?
Waebrania 7:24 - Swahili Revised Union Version bali yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu. BIBLIA KISWAHILI bali yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka. |
Basi mkutano wakamjibu, Sisi tumesikia katika torati ya kwamba Kristo adumu hata milele; nawe wasemaje ya kwamba imempasa Mwana wa Adamu kuinuliwa? Huyu Mwana wa Adamu ni nani?
tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina.
Maana torati yawaweka wanadamu walio na unyonge kuwa makuhani wakuu; bali hilo neno la kiapo kilichokuja baada ya torati limemweka Mwana, aliyekamilika hata milele.
na aliye hai; nami nilikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.
Nami nitajiinulia kuhani mwaminifu, atakayefanya kulingana na yale yaliyo katika moyo wangu na katika akili yangu; nami nitamjengea nyumba iliyo imara; naye atakwenda mbele ya masihi wangu milele.