Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Waebrania 6:15 - Swahili Revised Union Version Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa. Neno: Maandiko Matakatifu Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa. BIBLIA KISWAHILI Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi. |
Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.
Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.