Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Waebrania 6:15 - Swahili Revised Union Version

15 Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi.

Tazama sura Nakili

Waebrania 6:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.

Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.

ili msiwe wavivu, bali mkawe kama hao wazirithio ahadi kwa imani na uvumilivu.

Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo