kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Waebrania 13:25 - Swahili Revised Union Version Neema na iwe nanyi nyote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tunawatakieni nyote neema ya Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Tunawatakieni nyote neema ya Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tunawatakieni nyote neema ya Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Neema iwe nanyi nyote. Amen. Neno: Maandiko Matakatifu Neema iwe nanyi nyote. Amen. BIBLIA KISWAHILI Neema na iwe nanyi nyote. |
kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]
Gayo, mwenyeji wangu, na wa kanisa lote pia, awasalimu. Erasto, wakili wa mji, na Kwarto, ndugu yetu, wanawasalimu. [
Naandika salamu yangu mimi Paulo, kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni kufungwa kwangu. Neema na iwe pamoja nanyi.
Watu wote walio pamoja nami wanakusalimu. Tusalimie wale watupendao katika imani. Neema na iwe pamoja nanyi nyote.
Yakobo, mtumwa wa Mungu, na wa Bwana Yesu Kristo, kwa makabila kumi na mawili waliotawanyika; salamu.