Tito 3:4 - Swahili Revised Union Version Lakini wema wake Mungu Mwokozi wetu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wakati wema na upendo wa Mungu, Mwokozi wetu ulipofunuliwa, Biblia Habari Njema - BHND Lakini wakati wema na upendo wa Mungu, Mwokozi wetu ulipofunuliwa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wakati wema na upendo wa Mungu, Mwokozi wetu ulipofunuliwa, Neno: Bibilia Takatifu Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa, Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wema na upendo wa Mungu Mwokozi wetu ulipofunuliwa, BIBLIA KISWAHILI Lakini wema wake Mungu Mwokozi wetu, na upendo wake kwa wanadamu, ulipofunuliwa, alituokoa; |
Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?
Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu na Kristo Yesu, tarajio letu;
kwa maana twajitaabisha na kujitahidi kwa kusudi hili, kwa sababu tunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwokozi wa watu wote, hasa wa wale waaminio.
na sasa inadhihirishwa kwa kufunuliwa kwake Mwokozi wetu Kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufunua uzima na kutoharibika, kwa ile Injili;
akalifunua neno lake kwa majira yake katika ule ujumbe niliokabidhiwa kwa amri ya Mwokozi wetu Mungu;
kama ni hivyo, ingalimpasa kuteswa mara nyingi tangu kuwekwa msingi wa ulimwengu; lakini sasa, mara moja tu, katika utimilifu wa nyakati, amefunuliwa, azitangue dhambi kwa dhabihu ya nafsi yake.