Naye atakurejeshea uhai wako, na kukuangalia katika uzee wako; kwa maana mkweo, ambaye akupenda, naye anakufaa kuliko watoto saba, ndiye aliyemzaa.
Ruthu 4:16 - Swahili Revised Union Version Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea. Biblia Habari Njema - BHND Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi Naomi alimchukua mtoto huyo akamweka kifuani mwake na kumlea. Neno: Bibilia Takatifu Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. Neno: Maandiko Matakatifu Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. BIBLIA KISWAHILI Basi Naomi akamtwaa yule mtoto, akamweka kifuani pake, akawa mlezi wake. |
Naye atakurejeshea uhai wako, na kukuangalia katika uzee wako; kwa maana mkweo, ambaye akupenda, naye anakufaa kuliko watoto saba, ndiye aliyemzaa.
Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi; yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.