Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemdai amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
Ruthu 1:3 - Swahili Revised Union Version Akafa Elimeleki, mumewe Naomi; na yule mwanamke akasalia na wanawe wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Elimeleki, mumewe Naomi, alifariki na Naomi akaachwa na wanawe wawili. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Elimeleki, mumewe Naomi, alifariki na Naomi akaachwa na wanawe wawili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Elimeleki, mumewe Naomi, alifariki na Naomi akaachwa na wanawe wawili. Neno: Bibilia Takatifu Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili. BIBLIA KISWAHILI Akafa Elimeleki, mumewe Naomi; na yule mwanamke akasalia na wanawe wawili. |
Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemdai amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
Na jina la mtu huyo aliitwa Elimeleki, na jina la mkewe Naomi, na majina ya wanawe wawili Maloni na Kilioni, Waefrata wa Bethlehemu ya Yuda. Wakafika nchi ya Moabu, wakakaa huko.
Nao wakaoa wanawake wa Kimoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na jina la wa pili Ruthu. Baada ya kukakaa huko miaka kumi hivi,