Obadia 1:6 - Swahili Revised Union Version Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwatafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwaulizwa! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa! Biblia Habari Njema - BHND Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa! Neno: Bibilia Takatifu Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! Neno: Maandiko Matakatifu Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! BIBLIA KISWAHILI Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwatafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwaulizwa! |
Na watoto wao wachanga watavunjwavunjwa mbele ya macho yao, nyumba zao zitatekwa nyara, na wake zao watanajisiwa.
nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.
Lakini nimemwacha akiwa hana kitu Esau, nimepafunua mahali pake pa siri, wala hataweza kujificha; kizazi chake kimeangamizwa, na ndugu zake, na jirani zake, naye mwenyewe hayuko.
Upanga uko juu ya farasi wao, na juu ya magari yao ya vita; na juu ya watu wote waliochanganyika ndani yake, nao watakuwa kama wanawake; upanga u juu ya hazina zake, nazo zitaibwa.