Danieli 2:22 - Swahili Revised Union Version22 yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hufunua siri na mafumbo, ajua kilichoko gizani, mwanga wakaa kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hufunua siri na mambo yaliyofichika; anajua yale yaliyo gizani, nayo nuru hukaa kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hufunua siri na mambo yaliyofichika; anajua yale yaliyo gizani, nayo nuru hukaa kwake. Tazama suraSwahili Roehl Bible 193722 Yeye ndiye anayefunua yasiyochunguzika nayo yaliyofichwa. Anayajua yaliyomo gizani, nao mwanga unakaa kwake. Tazama sura |