Obadia 1:6 - Swahili Revised Union Version6 Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwatafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwaulizwa! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Enyi wazawa wa Esau, mali zenu zimetekwa; hazina zenu zote zimeporwa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa, jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Jinsi watu wa Esau wanavyotafutwatafutwa! Jinsi hazina zake zilizofichwa zinavyoulizwaulizwa! Tazama sura |