Nehemia 7:69 - Swahili Revised Union Version ngamia wao, mia nne thelathini na watano; punda zao, elfu sita na mia saba na ishirini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ngamia 435, na punda 6,720. Biblia Habari Njema - BHND ngamia 435, na punda 6,720. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ngamia 435, na punda 6,720. Neno: Bibilia Takatifu ngamia mia nne thelathini na watano (435) na punda elfu sita, mia saba na ishirini (6,720). Neno: Maandiko Matakatifu ngamia 435 na punda 6,720. BIBLIA KISWAHILI ngamia zao, mia nne thelathini na watano; punda zao, elfu sita na mia saba na ishirini. |
Farasi wao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arubaini na watano;
Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa walitoa mali kwa ajili ya kazi hii. Yule Tirshatha akatoa kwa ajili ya hazina darkoni, za dhahabu elfu moja, na mabeseni hamsini, na mavazi ya makuhani mia tano na thelathini.