Wazawa wa watumishi wa Sulemani; wazawa wa Sotai, wazawa wa Soferethi, wazawa wa Peruda;
Nehemia 7:57 - Swahili Revised Union Version Wazawa wa watumishi wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida; Biblia Habari Njema - BHND Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida; Neno: Bibilia Takatifu Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida, Neno: Maandiko Matakatifu Wazao wa watumishi wa Sulemani: wazao wa Sotai, Soferethi, Perida, BIBLIA KISWAHILI Wana wa watumishi wa Sulemani; Wana wa Sotai, wana wa Soferethi, wana wa Peruda; |
Wazawa wa watumishi wa Sulemani; wazawa wa Sotai, wazawa wa Soferethi, wazawa wa Peruda;
Basi hawa ndio viongozi wa jimbo waliokaa Yerusalemu; ila mijini mwa Yuda wakakaa kila mtu katika milki yake mijini mwao, yaani, Israeli, makuhani, na Walawi, na Wanethini, wazawa wa watumishi wa Sulemani.