Nehemia 7:41 - Swahili Revised Union Version Wana wa Pashuri, elfu moja mia mbili arubaini na saba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa ukoo wa Pashuri: 1247; Biblia Habari Njema - BHND wa ukoo wa Pashuri: 1247; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa ukoo wa Pashuri: 1,247; Neno: Bibilia Takatifu wazao wa Pashuri, elfu moja mia mbili arobaini na saba (1,247); BIBLIA KISWAHILI Wana wa Pashuri, elfu moja mia mbili arobaini na saba. |
na Adaya, mwana wa Yerohamu, mwana wa Pashuri, mwana wa Malkiya; na Maasai, mwana wa Adieli, mwana wa Yazera, mwana wa Meshulamu, mwana wa Meshilemithi, mwana wa Imeri;
Na wa wazawa wa Pashuri; Elioenai, na Maaseya, na Ishmaeli, na Nethaneli, na Yozabadi, na Elasa.