Wana wa Harimu, mia tatu na ishirini.
wa mji wa Harimu: 320;
wazao wa Harimu, mia tatu na ishirini (320);
Na wa wazawa wa Harimu; Eliezeri, na Ishiya, na Malkiya, na Shemaya, na Shimeoni,
Watu wa Harimu, mia tatu na ishirini.
Malkiya, mwana wa Harimu, na Hashubu, mwana wa Pahath-moabu, wakajenga sehemu nyingine, na mnara wa tanuri.
Wana wa Elamu wa pili, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.
Wana wa Yeriko, mia tatu arubaini na watano.