Watu wa Nebo, hamsini na wawili.
wa mji mwingine wa Nebo: 52;
watu wa Nebo, hamsini na wawili (52);
Na wa wazawa wa Nebo; Yeieli, na Matithia, na Zabadi, na Zebina, na Ido, na Yoeli, na Benaya.
Watu wa Betheli na Ai, mia moja ishirini na watatu.
Wana wa Elamu wa pili, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.