Nehemia 7:32 - Swahili Revised Union Version Watu wa Betheli na Ai, mia moja ishirini na watatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa miji ya Betheli na Ai: 123; Biblia Habari Njema - BHND wa miji ya Betheli na Ai: 123; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa miji ya Betheli na Ai: 123; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Betheli na Ai, mia moja ishirini na watatu (123); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Betheli na Ai, mia moja ishirini na watatu. |
Wana wa Benyamini nao walikuwa wakikaa Geba, na Mikmashi, na Aiya, na Betheli na vijiji vyake;
Hakusalia mtu yeyote ndani ya Ai, au katika Betheli, asiyetoka nje kuwafuatia Israeli; wakauacha mji wazi na kuwafuatia Israeli.
Basi Yoshua akawatuma; nao wakaenda hadi hapo watakapootea, wakakaa kati ya Betheli na Ai, upande wa magharibi wa Ai; lakini Yoshua akalala usiku huo kati ya watu.