Nehemia 7:30 - Swahili Revised Union Version Watu wa Rama na Geba, mia sita na ishirini na mmoja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wa miji ya Rama na Geba: 621; Biblia Habari Njema - BHND wa miji ya Rama na Geba: 621; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wa miji ya Rama na Geba: 621; Neno: Bibilia Takatifu watu wa Rama na Geba, mia sita ishirini na mmoja (621); BIBLIA KISWAHILI Watu wa Rama na Geba, mia sita na ishirini na mmoja. |
Wana wa Benyamini nao walikuwa wakikaa Geba, na Mikmashi, na Aiya, na Betheli na vijiji vyake;
tena kutoka Beth-gilgali, na toka mashamba ya Geba na Azmawethi; kwa maana waimbaji hao walikuwa wamejijengea vijiji katika viunga vya Yerusalemu.