Watu wa Beth-Azmawethi, arubaini na wawili.
wa mji wa Beth-azmawethi: 42;
watu wa Beth-Azmawethi, arobaini na wawili (42);
Watu wa Beth-Azmawethi, arobaini na wawili.
tena kutoka Beth-gilgali, na toka mashamba ya Geba na Azmawethi; kwa maana waimbaji hao walikuwa wamejijengea vijiji katika viunga vya Yerusalemu.
Watu wa Anathothi, mia moja ishirini na wanane.
Watu wa Kiriath-Yearimu, na Kefira, na Beerothi, mia saba arubaini na watatu.