Wana wa Adini, mia sita hamsini na watano.
wa ukoo wa Adini: 655;
wazao wa Adini, mia sita hamsini na watano (655);
Wazawa wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini.
Wana wa Bigwai, elfu mbili sitini na saba.
Wana wa Ateri, wa Hezekia, tisini na wanane.