Wana wa Azgadi, elfu mbili mia tatu ishirini na wawili.
wa ukoo wa Azgadi: 2,322;
wazao wa Azgadi, elfu mbili mia tatu ishirini na wawili (2,322);
Wazawa wa Azgadi, elfu moja mia mbili ishirini na wawili.
Wana wa Bebai, mia sita ishirini na wanane.
Wana wa Adonikamu, mia sita sitini na saba.