Wana wa Zatu, mia nane arubaini na watano.
wa ukoo wa Zatu: 845;
wazao wa Zatu, mia nane arobaini na watano (845);
Wana wa Zatu, mia nane arobaini na watano.
Na wa wazawa wa Zatu; Elioenai, na Eliashibu, na Matania, na Yeremothi, na Zabadi, na Aziza.
Wazawa wa Zatu, mia tisa arubaini na watano.
Wana wa Elamu, elfu moja mia mbili hamsini na wanne.
Wana wa Zakai, mia saba na sitini.