na ndugu zao, kulingana na vizazi vyao; watu mia tisa na hamsini na sita. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao, kwa kadiri ya mbari za baba zao.
Nehemia 11:8 - Swahili Revised Union Version Na baada yake Gabai, Salai, watu mia tisa ishirini na wanane. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928. Neno: Bibilia Takatifu na wafuasi wake, Gabai na Salai: wanaume mia tisa ishirini na nane (928). Neno: Maandiko Matakatifu na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928. BIBLIA KISWAHILI Na baada yake Gabai, Salai, watu mia tisa ishirini na wanane. |
na ndugu zao, kulingana na vizazi vyao; watu mia tisa na hamsini na sita. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao, kwa kadiri ya mbari za baba zao.
Na wana wa Benyamini ndio hawa; Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseva, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya.
Na Yoeli, mwana wa Zikri, alikuwa msimamizi wao; na Yuda, mwana wa Hasenua, alikuwa wa pili juu ya mji.