Nehemia 11:28 - Swahili Revised Union Version na katika Siklagi, na Mekona na vijiji vyake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wengine walikaa katika mji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka. Biblia Habari Njema - BHND Wengine walikaa katika mji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wengine walikaa katika mji wa Ziklagi, Mekona na vijiji vilivyoizunguka. Neno: Bibilia Takatifu katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake, Neno: Maandiko Matakatifu katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake, BIBLIA KISWAHILI na katika Siklagi, na Mekona na vijiji vyake; |
Ndipo Akishi akampa Siklagi siku ile; kwa sababu hiyo huo mji wa Siklagi ni mali ya wafalme wa Yuda hata hivi leo.