Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
Nehemia 11:27 - Swahili Revised Union Version na Hasar-shuali, na Beer-sheba na vijiji vyake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hasar-shuali na Beer-sheba pamoja na vijiji vilivyoizunguka. Biblia Habari Njema - BHND Hasar-shuali na Beer-sheba pamoja na vijiji vilivyoizunguka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hasar-shuali na Beer-sheba pamoja na vijiji vilivyoizunguka. Neno: Bibilia Takatifu katika Hasar-Shuali, katika Beer-Sheba na makazi yake, Neno: Maandiko Matakatifu katika Hasar-Shuali, katika Beer-Sheba na makazi yake, BIBLIA KISWAHILI na Hasar-shuali, na Beer-sheba na vijiji vyake; |
Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
Ndipo wana wa Israeli walipotoka; na mkutano ukakutanika kama mtu mmoja, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na nchi ya Gileadi wakamkutanikia BWANA huko Mispa.