Basi mji ulikuwa wa nafasi nyingi, tena mkubwa; lakini watu waliomo walikuwa wachache, na nyumba zilikuwa hazijajengwa.
Nehemia 11:2 - Swahili Revised Union Version Na hao watu wakawabariki wote waliojitoa kwa hiari wakae Yerusalemu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wakawasifu wale wote waliokubali kukaa mjini Yerusalemu. Biblia Habari Njema - BHND Watu wakawasifu wale wote waliokubali kukaa mjini Yerusalemu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wakawasifu wale wote waliokubali kukaa mjini Yerusalemu. Neno: Bibilia Takatifu Watu waliwasifu wale wote waliojitolea kuishi Yerusalemu. Neno: Maandiko Matakatifu Watu waliwasifu wale wote waliojitolea kuishi Yerusalemu. BIBLIA KISWAHILI Na hao watu wakawabariki wote waliojitoa kwa hiari wakae Yerusalemu. |
Basi mji ulikuwa wa nafasi nyingi, tena mkubwa; lakini watu waliomo walikuwa wachache, na nyumba zilikuwa hazijajengwa.
Baraka yake yeye aliyekuwa karibu na kupotea ilinijia; Nikaufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.
Watu wako watajitoa kwa hiari, Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako.
Sharti umrudishie rehani lichwapo jua, apate kulala na mavazi yake, na kukubarikia; nayo itakuwa ni haki kwako mbele za BWANA, Mungu wako.
Moyo wangu unawaelekea makamanda wa Israeli, Waliojitoa nafsi zao kwa hiari yao miongoni mwa watu; Mhimidini BWANA.