Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
Nehemia 10:2 - Swahili Revised Union Version Seraya, Azaria, Yeremia; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Seraya, Azaria, Yeremia, Biblia Habari Njema - BHND Seraya, Azaria, Yeremia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Seraya, Azaria, Yeremia, Neno: Bibilia Takatifu Seraya, Azaria, Yeremia, Neno: Maandiko Matakatifu Seraya, Azaria, Yeremia, BIBLIA KISWAHILI Seraya, Azaria, Yeremia; |
Na huyo Tirshatha akawaambia kwamba wasile katika vitu vitakatifu sana, hata atakaposimama kuhani mwenye Urimu na Thumimu.
na Seraya, mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi wa nyumba ya Mungu,
Basi, hawa ndio makuhani na Walawi waliopanda na Zerubabeli, mwana wa Shealueli, na Yoshua; Seraya, Yeremia, Ezra;
Baada yao wakajenga Benyamini na Hashubu, kuielekea nyumba yao. Baada yao akajenga Azaria, mwana wa Maaseya, mwana wa Anania, kando ya nyumba yake.