Awakumbuka watu wake wenye heshima; Wanajikwaa katika mwendo wao; Wanafanya haraka waende ukutani; Nacho kitu cha kuwafunika kimetayarishwa.
Nahumu 2:6 - Swahili Revised Union Version Malango ya mito yamefunguka, na jumba la mfalme limeyeyushwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vizuizi vya mito vimefunguliwa, ikulu imejaa hofu. Biblia Habari Njema - BHND Vizuizi vya mito vimefunguliwa, ikulu imejaa hofu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vizuizi vya mito vimefunguliwa, ikulu imejaa hofu. Neno: Bibilia Takatifu Malango ya mto yamefunguliwa wazi, na jumba la kifalme limeanguka. Neno: Maandiko Matakatifu Malango ya mto yamefunguliwa wazi, na jumba la kifalme limeanguka. BIBLIA KISWAHILI Malango ya mito yamefunguka, na jumba la mfalme limeyeyushwa. |
Awakumbuka watu wake wenye heshima; Wanajikwaa katika mwendo wao; Wanafanya haraka waende ukutani; Nacho kitu cha kuwafunika kimetayarishwa.
Husabu naye amefunuliwa, anachukuliwa, na wajakazi wake wanalia kama kwa sauti ya hua, wakipigapiga vifua vyao.
Tazama, watu wako walio ndani yako ni wanawake; malango ya nchi yako yamekuwa wazi kabisa mbele ya adui zako; moto umeteketeza mapingo yako.