Mwanzo 9:14 - Swahili Revised Union Version Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, Biblia Habari Njema - BHND Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, Neno: Bibilia Takatifu Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukatokea mawinguni, Neno: Maandiko Matakatifu Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukijitokeza mawinguni, BIBLIA KISWAHILI Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, |
nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.