Katika mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, mwezi wa pili, siku ya kumi na saba ya mwezi, siku ile chemchemi zote za vilindi vikuu zilibubujika kwa nguvu, madirisha ya mbinguni yakafunguka.
Mwanzo 8:14 - Swahili Revised Union Version Na mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, nchi ilikuwa kavu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku ya 27 ya mwezi wa pili, nchi ilikuwa imekauka kabisa. Biblia Habari Njema - BHND Siku ya 27 ya mwezi wa pili, nchi ilikuwa imekauka kabisa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku ya 27 ya mwezi wa pili, nchi ilikuwa imekauka kabisa. Neno: Bibilia Takatifu Kufikia siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili, dunia ilikuwa imekauka kabisa. Neno: Maandiko Matakatifu Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa. BIBLIA KISWAHILI Na mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, nchi ilikuwa kavu. |
Katika mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, mwezi wa pili, siku ya kumi na saba ya mwezi, siku ile chemchemi zote za vilindi vikuu zilibubujika kwa nguvu, madirisha ya mbinguni yakafunguka.
Ikawa mwaka wa mia sita na moja, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, naye akaona, na tazama, uso wa nchi umekauka.
Ikawa katika mwaka wa thelathini na saba wa kuhamishwa kwake Yekonia, mfalme wa Yuda, katika mwezi wa kumi na mbili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, Evil-merodaki, mfalme wa Babeli, katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, akamwinua kichwa Yekonia, mfalme wa Yuda, akamtoa gerezani.
Ikawa katika mwaka wa ishirini na saba, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,