Mwanzo 8:14 - Swahili Revised Union Version14 Na mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, nchi ilikuwa kavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Siku ya 27 ya mwezi wa pili, nchi ilikuwa imekauka kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Siku ya 27 ya mwezi wa pili, nchi ilikuwa imekauka kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Siku ya 27 ya mwezi wa pili, nchi ilikuwa imekauka kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kufikia siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili, dunia ilikuwa imekauka kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Na mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, nchi ilikuwa kavu. Tazama sura |