Kenani akaishi baada ya kumzaa Mahalaleli miaka mia nane na arubaini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:14 - Swahili Revised Union Version Siku zote za Kenani ni miaka mia tisa na kumi, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910. Biblia Habari Njema - BHND Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kenani alifariki akiwa na umri wa miaka 910. Neno: Bibilia Takatifu Kenani aliishi jumla ya miaka mia tisa na kumi, ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Kenani ni miaka mia tisa na kumi, akafa. |
Kenani akaishi baada ya kumzaa Mahalaleli miaka mia nane na arubaini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.