Mwanzo 5:12 - Swahili Revised Union Version Kenani akaishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kenani alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Mahalaleli. Biblia Habari Njema - BHND Kenani alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Mahalaleli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kenani alipokuwa na umri wa miaka 70, alimzaa Mahalaleli. Neno: Bibilia Takatifu Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. Neno: Maandiko Matakatifu Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. BIBLIA KISWAHILI Kenani akaishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. |
Kenani akaishi baada ya kumzaa Mahalaleli miaka mia nane na arubaini, akazaa wana, wa kiume na wa kike.