Enoshi akaishi baada ya kumzaa Kenani miaka mia nane na kumi na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:11 - Swahili Revised Union Version Siku zote za Enoshi ni miaka mia tisa na mitano, akafa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905. Biblia Habari Njema - BHND Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905. Neno: Bibilia Takatifu Enoshi aliishi jumla ya miaka mia tisa na tano (905), ndipo akafa. Neno: Maandiko Matakatifu Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. BIBLIA KISWAHILI Siku zote za Enoshi ni miaka mia tisa na mitano, akafa. |
Enoshi akaishi baada ya kumzaa Kenani miaka mia nane na kumi na mitano, akazaa wana, wa kiume na wa kike.