Mwanzo 47:2 - Swahili Revised Union Version Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Biblia Habari Njema - BHND Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Neno: Bibilia Takatifu Akawachagua ndugu zake watano na kuwapeleka mbele ya Farao. Neno: Maandiko Matakatifu Akachagua ndugu zake watano na kuwaonyesha kwa Farao. BIBLIA KISWAHILI Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao. |
Hata safari ya pili Yusufu akajitambulisha kwa ndugu zake, jamaa ya Yusufu ikawa dhahiri kwa Farao.
tukijua ya kwamba yeye aliyemfufua Bwana Yesu atatufufua sisi nasi pamoja na Yesu, na kutuweka mbele yake pamoja nanyi.
ambaye sisi tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu, na kumfundisha kila mtu katika hekima yote, tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika Kristo.
Yeye awezaye kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu;