BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo yeyote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
Mwanzo 4:24 - Swahili Revised Union Version Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba, Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikiwa Kaini atalipizwa mara saba, kweli Lameki atalipizwa mara sabini na saba.” Biblia Habari Njema - BHND Ikiwa Kaini atalipizwa mara saba, kweli Lameki atalipizwa mara sabini na saba.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikiwa Kaini atalipizwa mara saba, kweli Lameki atalipizwa mara sabini na saba.” Neno: Bibilia Takatifu Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.” Neno: Maandiko Matakatifu Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.” BIBLIA KISWAHILI Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba, Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba. |
BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo yeyote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.