huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.
Mwanzo 39:13 - Swahili Revised Union Version Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo, yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu ameliacha vazi lake mikononi mwake na kukimbilia nje, Biblia Habari Njema - BHND Hapo, yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu ameliacha vazi lake mikononi mwake na kukimbilia nje, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo, yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu ameliacha vazi lake mikononi mwake na kukimbilia nje, Neno: Bibilia Takatifu Yule mwanamke alipoona kwamba Yusufu amemwachia vazi lake mkononi na kukimbilia nje ya nyumba, Neno: Maandiko Matakatifu Yule mwanamke alipoona kwamba Yusufu amemwachia vazi lake mkononi na kukimbilia nje ya nyumba, BIBLIA KISWAHILI Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje, |
huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.
akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.