Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayokaa kama mgeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
Mwanzo 37:1 - Swahili Revised Union Version Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. Biblia Habari Njema - BHND Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yakobo aliendelea kukaa katika nchi ya Kanaani, alimoishi baba yake kama mgeni. Neno: Bibilia Takatifu Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi. Neno: Maandiko Matakatifu Yakobo akaishi Kanaani katika nchi ambayo baba yake alikuwa ameishi. BIBLIA KISWAHILI Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani. |
Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayokaa kama mgeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
Mimi ni mgeni, ninatembea kwenu; nipeni mahali pa kuzikia kwenu, pawe pangu, nimzike maiti wangu atoke mbele yangu.
Akupe baraka ya Abrahamu, wewe na uzao wako pamoja nawe, upate kuirithi nchi ya kusafiri kwako, Mungu aliyompa Abrahamu.
jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kulingana na makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.
Maana mali yao ilikuwa nyingi wasiweze kukaa pamoja, wala nchi ya ugeni haikuweza kuwapokea kwa sababu ya wingi wa mifugo wao.