Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.
Mwanzo 30:21 - Swahili Revised Union Version Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baadaye akazaa mtoto wa kike, akamwita Dina. Biblia Habari Njema - BHND Baadaye akazaa mtoto wa kike, akamwita Dina. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baadaye akazaa mtoto wa kike, akamwita Dina. Neno: Bibilia Takatifu Baadaye akamzaa mtoto wa kike, akamwita jina Dina. Neno: Maandiko Matakatifu Baadaye akamzaa mtoto wa kike akamwita Dina. BIBLIA KISWAHILI Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina. |
Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.
Wakawaua Hamori, na Shekemu mwanawe, kwa upanga, wakamtwaa Dina katika nyumba ya Shekemu, wakatoka.
Hao ndio wana wa Lea, aliomzalia Yakobo katika Padan-aramu, na Dina, binti yake. Wanawe wote wa kiume na kike walikuwa watu thelathini na watatu.