Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 30:21 - Swahili Revised Union Version

21 Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Baadaye akazaa mtoto wa kike, akamwita Dina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Baadaye akazaa mtoto wa kike, akamwita Dina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Baadaye akazaa mtoto wa kike, akamwita Dina.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Baadaye akamzaa mtoto wa kike, akamwita jina Dina.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Baadaye akamzaa mtoto wa kike akamwita Dina.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Baadaye akazaa binti, akamwita jina lake Dina.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 30:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lea akasema, Mungu amenipa mahari njema, sasa mume wangu atakaa nami, kwa kuwa nimemzalia wana sita. Akamwita jina lake Zabuloni.


Mungu akamkumbuka Raheli; Mungu akamsikia, akamfungua tumbo.


Wakawaua Hamori, na Shekemu mwanawe, kwa upanga, wakamtwaa Dina katika nyumba ya Shekemu, wakatoka.


Hao ndio wana wa Lea, aliomzalia Yakobo katika Padan-aramu, na Dina, binti yake. Wanawe wote wa kiume na kike walikuwa watu thelathini na watatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo