Mwanzo 30:12 - Swahili Revised Union Version Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana wa pili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zilpa, mtumishi wa Lea, alimzalia Yakobo mtoto wa pili wa kiume. Biblia Habari Njema - BHND Zilpa, mtumishi wa Lea, alimzalia Yakobo mtoto wa pili wa kiume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zilpa, mtumishi wa Lea, alimzalia Yakobo mtoto wa pili wa kiume. Neno: Bibilia Takatifu Mjakazi wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili. Neno: Maandiko Matakatifu Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili. BIBLIA KISWAHILI Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana wa pili. |
Tena mpakani mwake Dani, toka upande wa mashariki hadi upande wa magharibi; Asheri, fungu moja.
Katika wana wa Asheri, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;