Mwanzo 30:13 - Swahili Revised Union Version13 Lea akasema, Ni heri mimi, maana wanawake wataniita heri. Akamwita jina lake Asheri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Lea akasema, “Bahati njema! Sasa wanawake wataniita heri.” Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Lea akasema, “Bahati njema! Sasa wanawake wataniita heri.” Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Asheri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Lea akasema, “Bahati njema! Sasa wanawake wataniita heri.” Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Asheri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo Lea akasema, “Nina furaha kiasi gani! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita jina Asheri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Lea akasema, Ni heri mimi, maana wanawake wataniita heri. Akamwita jina lake Asheri. Tazama sura |