Mwanzo 3:2 - Swahili Revised Union Version Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; Biblia Habari Njema - BHND Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanamke akamjibu huyo nyoka, “Twaweza kula matunda ya mti wowote bustanini; Neno: Bibilia Takatifu Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyo katika bustani, Neno: Maandiko Matakatifu Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyoko bustanini, BIBLIA KISWAHILI Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula; |
Lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.”
lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.