Kisha Abrahamu akamlaumu Abimeleki kwa sababu ya kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki wamemnyang'anya.
Mwanzo 26:21 - Swahili Revised Union Version Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna. Biblia Habari Njema - BHND Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Halafu wakachimba kisima kingine, nacho pia wakakigombania; hivyo Isaka akakiita kisima hicho Sitna. Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania; akakiita Sitna. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna. BIBLIA KISWAHILI Wakachimba kisima kingine, wakagombania na hicho tena. Akakiita jina lake Sitna. |
Kisha Abrahamu akamlaumu Abimeleki kwa sababu ya kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki wamemnyang'anya.
Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.
Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.
Tena, wakati wa kutawala kwake Ahasuero, mwanzo wa kutawala kwake, watu wakaandika mashitaka juu ya wenyeji wa Yuda na Yerusalemu.