Mwanzo 26:17 - Swahili Revised Union Version Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Isaka akaondoka huko, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa huko. Neno: Bibilia Takatifu Basi Isaka akatoka huko, akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko. Neno: Maandiko Matakatifu Basi Isaka akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko. BIBLIA KISWAHILI Basi Isaka akatoka huko akapiga kambi katika bonde la Gerari, akakaa huko. |
Isaka akarudi akavichimbua vile visima vya maji walivyovichimba siku za Abrahamu babaye; maana wale Wafilisti walikuwa wamevifukia baada ya kufa kwake Abrahamu; naye akaviita majina kufuata majina aliyoviita babaye.