Ikawa baada ya mambo hayo, Abrahamu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;
Mwanzo 22:21 - Swahili Revised Union Version Usi, mzaliwa wa kwanza wake, na Buzi nduguye, na Kemueli, baba wa Aramu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usi mzaliwa wa kwanza, Buzi ndugu yake, Kemueli baba yake Aramu, Biblia Habari Njema - BHND Usi mzaliwa wa kwanza, Buzi ndugu yake, Kemueli baba yake Aramu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usi mzaliwa wa kwanza, Buzi ndugu yake, Kemueli baba yake Aramu, Neno: Bibilia Takatifu Usi mzaliwa wake wa kwanza, Buzi nduguye, Kemueli (baba wa Aramu), Neno: Maandiko Matakatifu Usi mzaliwa wake wa kwanza, Buzi nduguye, Kemueli (baba wa Aramu), BIBLIA KISWAHILI Usi, mzaliwa wa kwanza wake, na Buzi nduguye, na Kemueli, baba wa Aramu; |
Ikawa baada ya mambo hayo, Abrahamu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;
Kisha huyo mtumishi akatwaa ngamia kumi katika ngamia za bwana wake akaenda zake, maana mali zote za bwana wake zilikuwa mkononi mwake, akaondoka, akaja mpaka Mesopotamia, mpaka mji wa Nahori.
Palikuwa na mtu katika nchi ya Usi, jina lake alikuwa akiitwa Ayubu; mtu huyo alikuwa mkamilifu na mwelekevu, ni mmoja aliyemcha Mungu, na kuepukana na uovu.
Ndipo zikawaka hasira za huyo Elihu mwana wa Barakeli, Mbuzi, katika jamaa ya Ramu, juu ya Ayubu, kwa sababu alikuwa amejipa haki mwenyewe zaidi ya Mungu.
na watu wote waliochanganyika pamoja, na wafalme wote wa nchi ya Uzi, na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi;
Akatunga mithali yake, akasema, Balaki amenileta kutoka Aramu, Mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki, Njoo! Unilaanie Yakobo, Njoo! Unishutumie Israeli.